Maswali
- Ni kampuni inayojihusha na utoaji wa simu janja kwa mkopo.
- Ili kupata simujanja kutoka Onfon Mobile, jisajili kwa kupiga *147*04#.
- Piga *147*04# chagua kujisajili kisha fuata maelekezo, mwisho utapatiwa majibu kama unakidhi kupata mkopo au la.
- Ukipokea ujumbe unaokutaarifu kuhusu simu unazoweza kupata, piga *147*04# ili uweze kufanya yafuatayo:
• Angalia Simu unazoweza kukopa.
• Fanya malipo ya mkopo wako.
• Nunua muda wa maongezi.

- Utahitaji laini ya Vodacom na kitambulisho chako cha taifa (NIDA) au moja kati ya vifuatavyo; kadi ya kupiga kura, Pasi ya kusafiria au leseni ya udereva kwa ajili ya kuhakiki taarifa zako wakati wa kukopa simu janja.
- Kila mtu anayekidhi vigezo vya kukopa anaweza kupata mkopo wa simu ya Onfon Mobile.
• Kwa sasa tuna mpango wa malipo kwa miezi 12 na mteja anaweza kubadili mpangilio wake wa malipo baada ya kuidhinishwa kwa mkopo wa miezi 12.
• Ndio, unaweza kubadili mpangilio wako wa malipo kwa kubonyeza USSD yetu, *147*04# au kwa kutumia Mobile App ya Onfon Mobile, baada ya siku 14.
• Ili kufanya malipo ya mkopo wa simu yako, bonyeza *147*04#, chagua namba 2 kulipa mkopo.
- Kwa namna nyingine mteja anaweza kutumia Mobile app ya Onfon Mobile kufanya malipo. Ndani ya aplikesheni, chagua kufanya malipo kisha M-Pesa itafunguka na mteja anaweza kulipia.
- Pia unaweza kutumia menyu ya M-Pesa kwa kupiga:
• Piga *150*00#
• Chagua Kulipa Kwa M-Pesa
• Ingiza Lipa Namba 277700
• Weka namba ya kitambulisho cha NIDA au namba ya simu ya mteja kama namba ya kumbukumbu.
• Weka kiasi.
• Weka namba ya siri
• Thibitisha muamala
- Mteja, utapewa muda wa ziada kati ya dakika 10-15 kwa ajili ya kufanya malipo kabla ya simu yako kujifunga.

• Utapatiwa muda wa ziada kati ya dakika 10-15 kabla simu yako haijajifunga.
• Hapana. Unaweza kupata simu moja pekee ya mkopo. Pindi utakapomaliza mkopo wako unaweza kukopa simu nyingine.
• Ndio, unaweza kulipia mkopo wako kwa kutumia namba nyingine. Lakini pia unaweza kulipia kwa kutumia M-Pesa:
- Piga *150*00#
- Chagua Lipa kwa M-Pesa
- Weka namba ya Biashara 277700
- Weka namba ya NIDA au namba ya simu kama kumbukumbu namba.
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri.
- Thibitisha malipo.
- Piga *150*00#
- Chagua Lipa kwa M-Pesa
- Weka namba ya Biashara 277700
- Weka namba ya NIDA au namba ya simu kama kumbukumbu namba.
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri.
- Thibitisha malipo.
• Ndio unaweza kununua. Ili kununua muda wa maongezi piga *147*04# chagua namba 3 kununua muda wa maongezi.
• Kama utapoteza simu yako, piga huduma kwa wateja 0748 770 112 kisha ripoti taarifa hiyo kituo cha Polisi mara baada ya tukio ili kupata barua ya upotevu wa simu iliyounganishwa na NIDA kisha utume taarifa hizo kwenye anuani yetu: info@onfonmobile.co.tz.
• Ndio, tunatoa huduma kwa wateja wetu kualika wateja wengine ili kujipatia kiasi cha fedha kwa kuleta wateja watakaoweza kuchukuwa simu zetu. Unaweza kujipatia kamisheni kwa kila mteja atakejisajili na kupata huduma zetu.
• Tunapendekeza matengenezo ya simu zetu yafanyike katika maeneo yaliyoidhinishwa. Tafadhali zingatia kwamba matengenezo ya kimfumo pekee ndiyo yatakayofanyiwa kazi kwa muda ambao simu itakuwa ndani ya warantii. Ingawaje, ni muhimu kujua kwamba uharibifu wa kifaa kama kuvunjika kioo, au kupasuka kwa simu hakupo ndani ya matengenezo ya warantii. Kwa matatizo kama hayo matengenezo yatafanywa kwa gharama za mteja mwenyewe.
• Ndio, kama simu imeharibika ikiwa ndani ya warantii unaweza kutembelea kituo cha matengenezo kilichopo karibu nawe au tembelea duka la vodacom lililopo Kariakoo Msimbazi B karibu na Sunderland ili kupata msaada zaidi. Kwa namna nyingine unaweza kupiga huduma kwa wateja namba 0748 770 112 ili uweze kupata msaada zaidi.