Pata simu mpya leo!
Jisajili ili kupata simujanja kwa kufuata hatua hizi kisha ulipie kila siku, kwa wiki au kwa miezi 3-12.
Hatua ya Kwanza
Jaza taarifa zinazotakiwa ili kujisajili.
Hatua ya Pili
Baada ya kukamilisha usajili. Katika hatua inayofuata chagua namba 1 ili kuona simu unazoweza kupata.
Hatua Ya Tatu
Baada ya kuona simu unazoweza kupata, chagua simu unayotaka kisha tembelea duka la Vodacom lililopo karibu nawe au wakala aliyeidhinishwa.
Simu Zilizopo
Jiunge na programu yetu ya kualika marafiki
Tuma 111111 kwenda namba 15610.
Alika marafiki kujipatia:
Shilingi 2000 kwa mteja wa kwanza
Shilingi 1000 kwa mteja aliyeletwa na mteja wa kwanza
Shilingi 1000 kwa ajili ya wakala aliyeidhinishwa.